LINAH AWEKA WAZI TETESI ZA KUDANGA NA KUSHINDWA KUFANYA MUZIKI "NI LIFESTYLE YANGU"
HTML-код
- Опубликовано: 28 мар 2025
- Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote.
wasafimedia.co...
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Miaka iko kasii sanaa daah😢 bado nakupenda linnah sanga❤❤❤
Lina wangu nakupendaa mnooo ❤❤❤
UNAYESEMA LINAH MTU MZIMA,,JIPE MIAKA 10 ,,10 TEMU 2 TU,,LAZIMA UFIKE UNLES WAMEKUZIKA,,,,NILICHOGUNDUA WANACOMENT WENGI NI MASKINI NA WENYE WIVU,,,,MTU HUJAWAH HATA KUMUONA UNALETA USHAURI😊,,ISHI YAKO NA YEYE ANAISHI YAKWAKE FULSTOP..
Safi sana Hawa wasenge wandhani wao ni mawe hawatazeeka😅
Ya. Utadhani wao hawakui. Shenzi kabisa
Usitutishe, mm am 36 na mpaka nikwambie otherwise utajua am 22
@Assay-gn1wv endelea kuishi tu dada angu....ufikie utu uzima afu uone kama utaitwa mschana,,sawa!!
Point
Nyusi nyie🎉🎉🎉 nzuri
Yaani nyie ni wambea waoga.ukiamua kuwa mbea usiogope kusutwa mchaga. Ila kwa upande wa Linah mara nyingi ukitokea kanisani ukaenda kwenye miziki ya kidunia hauishii pazuri. Hii nimejifunza hata kwa wine hustone. Nampongeza rubi kwa kukubali kurudi kwa Mungu wake.
KUMBE DADA LINA UNA CONFIDENCE MIMI NAONAGA UNA AIBU ZA KUFA MTU
ni kweli ni Mzee sasa so what ?
Kukaa uchi waachie watoto ushakua mtu mzima tena ' khaaaa!!!!!
linah sanga ana mapaja mazuri , hayana michilizi
Mwambie lina nampenda sana nawezaje kumpata
Tafuta hela dogo ndyo dawa pekee ya warembo😅😅😅😅
Mtoto wa baba Askofu?? Mtoto sasa😅😅😅
Edit hizi zinawaumbua watu tukiwaona laivu laivu 😂😂😂 gumshangazi wa ukwee👌
Juzijuzi tu alikuwa modo kazuri now fghafla kawa bonge uzuri wote kwisha
Imani ya dini ndo ujiiichore chore hvo pumbavu zako
Alijichora zamani, haikua na haja ya tusi
huyu lina mmbona kama amekuwa mlevi wa kufa mtu na ame fuia daah life sio poa
Halafu huyo Mshkaji wake anayemzungumzia ni yule aliingia uwanjani kipindi Taifa Stars anacheza na Brazil akaenda kumkumbatia Kaka...
Kwa nn tunapenda kubandika manywele wanawake.. ona zinavotuumbuwa nywele zote mbele hunyoyoka mbele na baya zaidi hazioti tena
Jaman muacheni mkamfanya aende kwenye maupasuaji uko asa mtu wa mwaka 1990 mnategemea aweje
Nikwelii kabisaaa tena chunyaaaa
Mtu mzima ❤
@@ameirzapy1318 anachukia kumwita mtu mzima yaan ungekuwa karibu yake angekuua 🤣🤣
@RizoIbrahimovich-z4f 🤣🤣 kwani uongo
Mnakosaje mike 2 aisee nyie mafala?
Mi natizama nguo aliyovaa af Mtoto wa Mtumishi kweli Bwana ni mwema
Unashangaa Leo
Mbn kakomaa sanaa
Kichwa cha habari ndio majibu yake kukaa vibaya ni muendelezo tu kwa kuvutia wahitaji
We kenge ushayakanyaga boya ww
Mashavu yameshashuka
Nakuhurumia utakufa vibaya wewe😂😂😂nakupa miaka mi3 tu hata habari hutapewa😅😅
Umri ni daraja kila mja atalivuka
Ni swala la mda na ww mashavu yatashukaa kipenz
Hizi tattoos jaman jitahidini na miili yenu😭😭😭
Nachoamin ni kwamba uzee upo 😢..Huyu dada aache kuvaa hizo nguo anazovaa..tayar umri umesepa
Hyu ndio Lina mmh
Ashazeeka huyo 😂😂😂😂😂
Kwani wewe uzeeki?acheni chuki
Siku hazigandi na roho pia haizeeki muache na masiha yake
Maaskofu waliruhusiwa kuzaa kipindiicho??
Inategemea ni dhehebu gan
Mzee
Ninasikia anajiuza…Anatoa hadi nyuma 😅
Muache na maisha yake hakim ni muumba wake maana huumchangii hata chumvi maishani mwake.
Kipi Sasa Cha ajabu??
Hujui back ground ya mama aliyekuzaa acha kumsemea mtu maneno usiyoyashuhudia.
Kwani ye ndo wa kwanza kujiuza au peleka umalaya wako huko wa kimbwambwa
@ kafirwe huko na wewe Ninaona mk*ndu unakuwasha kama wa huyo Shangazi yako Linah
Uvivu wa kufanya kazi tu
😅😅
Baba yako ni Askofu?????😢… Aiyaaaaaaa🥲..
Mbona sura inaonyesha kama nimtu mpenda vinywaji vikali sana
Tunakunywa vinyau.
Like she is pregnant
She's not,,anaficha tumbo siunajua unene unakujaga na tumbo lake😅😅